Mwanamme mmoja ambaye hajafahamika jina lake mara moja amenusurika kufa baada ya kupigwa na wananchi wakati akifanya jaribio la kuiba baiskeli ya mwendesha baiskeli  maarufu Daladala mjini Shinyanga.


Tukio hilo limetokea asubuhi hii karibu na uwanja wa Shycom mjini Shinyanga.

Mbali na kupokea  kichapo hicho cha maana mwanamme huyo alitumbukizwa kwenye mtaro wa maji machafu-Picha na Kadama Malunde
 
 Jamaa akisikilizia mauamivu baada ya kupokea kichapo

Baiskeli aliyokuwa anataka kuiba ikitolewa mtaroni


 Baada ya kichapo jamaa aliachiwa