February 02 2015 katika viwanja vya Karimjee Dar es salaam ilikuwa ni shughuli za kuuaga mwili wa Marehemu Kapteni John Komba na baadaye ukasafirishwa kwenda Ruvuma ambako yatafanyika mazishi-Picha zote kwa hisani ya Michuzi blog
Watu mbalimbali wameshiriki katika tulio hilo, hapa kuna picha kutoka Karimjee,angalia hapa chini
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba
Makamu wa Rais, Dkt. Mohamed Gharib Bilal na wake zake, Asha na Zakhia.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Mh. Joshua Nassari akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii,Mh. Saidi Mtanda akitoa salamu za rambi rambi kwa niaba ya Kamati yake.
Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. Jenista
Mhagama akitoa salamu za Serikali katika viwanja vya Karimjee jijini Dar
es Salaam leo.
Social Plugin