Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda yeye na Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo walipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete wakimfariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete wakiwafariji wasanii wa Tanzania One Theatre kufuatia kifo cha kiongozi wao, Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI

Rais Jakaya Kikwete akimsalimia mjane wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga magharibi Kampeni John Komba, Salome Mwakangale.
Waziri Mkuu mstaafu Mhe Sumaye akimpa pole mjane wa marehemu Kapteni John Komba, Mwalimu Salome Mwakangale.
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
alipokwenda yeye Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya
Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu
Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi
kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
walipokwenda yeye na Rais Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya
Mbunge wa Mbinga Magharibi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisaini kitabu cha maombelezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anna Makinda
akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa Mbunge wa Mbinga Magharibi
Kapteni John Komba.
Rais
Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete wakiwafariji wasanii
wa Tanzania One Theatre kufuatia kifo cha kiongozi wao, Mbunge wa
Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni
John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba
jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.

PICHA HAPA CHINI VIONGOZI MBALI MBALI WAKIHANI MSIBA WA KOMBA
ANGALIA VIDEO HAPA CHINI