MWANAMKE ALIOTA ANAPIGWA MAKOFI NA MPENZI WAKE,KILICHOFUATA NI STORI !!!
Wednesday, March 25, 2015
Mwanamke
mmoja nchini Nigeria anashikiliwa na Polisi kutokana na kosa la mauaji
ya mtu ambaye alikuwa ni mpenzi wake.. kisa chote kilianzia kwenye ndoto
!!
Mwanamke huyo Monsurat Yusuf alishtuka toka usingizini na kumsimulia mpenzi wake,Eric Moses kwamba ameota ndoto ambayo alihisi amepigwa na mpenzi wake huyo makofi akiwa usingizini.
Ericalicheka baada ya kusikia story hiyo lakini kumbe Monsurathakupenda, akachukua kisu na kumchoma mpenzi wake huyo ambaye alifariki.
Upelelezi wa Polisi umeonesha wote wawili walikuwa ni wanafunzi na walikuwa wakiimba kwaya pia ya kanisa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin