MSANII J.I ALIYETAMBA NA WIMBO WA "KIDATO KIMOJA",AMEKULETEA WIMBO MPYA,SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA


kidato ki1 
 J.I ni miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao wana historia kubwa na muziki wa Bongo Fleva,hii ni kutokana na hit moja ya kidato kimoja ambayo ilimpa mashabiki wengi wa ndani na nje ya nchi.

Single ya Kidato Kimoja peke yake kwa mujibu wa J.I mwenyewe amesema ilimpa pesa nyingi kiasi cha kumfanya afungue biashara zake binafsi mbalimbali ikiwemo maduka ya nguo kwenye nchiniKenya,kwa sasa karudi na single mpya inaitwa Msifie wife imefanywa na Sheddy Clever.

Bonyeza play kuusikiliza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post