TAZAMA PICHA- MAZISHI YA MSANII MKONGWE TANZANIA EBBY SYKES JIJINI DAR ES SALAAM


.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki na Jaji mstaafu Joseph Warioba leo Feb 16 wameungana na  wananchi mbalimbali kwenye mazishi ya muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Ebby Sykes ambaye ni baba mzazi wa msanii Dully Sykes.
Mazishi hayo yamefanyika kwenye makaburi ya Kisutu Dar es Salaam na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye mazishi hayo.
.
.
.
.
Ebby Sykes enzi za uhai wake.
Mwanamuziki Dully Sykes akihojiwa na wanahabari (hawapo pichani) huko msibani Kawe Beach jijini Dar.…
Dully akilia kwa simanzi wakati akipewa pole na waombolezaji waliofika msibani Mbezi Beach.
Dully akipewa pole na baadhi ya waombolezaji waliofika msibani leo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post