NYUMBA HII INAUZWA IKO MBEZI MAKABE MSUMI "A" JIJINI DAR ES SALAAM

Nyumba hii inauzwa iko Mbezi Makabe Msumi A jijini Dar es salaam,inavyumba vinne vya kulala ambapo moja ni master bedroom, public toilet, dinning room, stoo, Jiko.Bei ni shilingi milioni 40 lakini kuna maelewano pia.

Kwa Mawasilino zaidi,wasiliana na bwana Elvin Kamugisha kwa simu namba 0718169877 au 0788 574465,ANGALIA MUONEKANO WA NYUMBA HII HAPA CHINI 

 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post