‘Nitampata wapi’ ya Diamond yapiga namba 1 kwenye Top10 ya Africa Trace TV

.
.
Kama wewe ni shabiki wa muziki wa Africa duniani unaweza kuwa na hamu ya kufahamu ni single gani ambayo iko juu kwenye chati za muziki huu duniani…. kwa sababu kazi yangu ni kukusogezea zote muhimu, nakusogezea na hii kwamba video ya ‘Nitampata wapi’ ya Diamond Platnumz kupitia kituo cha TraceTV ya Ufaransa imeicheza video hiyo kama namba 1.
.
.
Mbali na video hiyo kuchezwa kama namba 1 kwenye kituo hicho cha Trace TV, Diamond Platnumz ana sababu nyingine ya kufurahi mafanikio ya kuwa msanii wa kwanza wa Tanzania kupitia video yake ‘Nitampata wapi’  kufikisha views milioni 2 tangu iwekwe Nov 20, 2014.
.
.
.
.
.
.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post