Duh Hii Noma!! MWANAMKE AAMUA KUMKATA ULIMI KWA MENO JAMAA ALIYEMBAKA UCHOCHORONI ILI APATE USHAHIDI WA KESI

2544DA7A00000578-2936119-image-a-31_1422879888044
Mara ya kwanza mwanamke huyu alipatwa na tukio kama hili miaka kumi iliyopita, alipoenda kuripoti tukio hilo Polisi mtuhumiwa wa kosa la kumuingilia kwa nguvu mwanamke huyu ilishindikana kukamatwa kutokana na kukosekana kwa ushahidi.

Safari hii mwanamke huyo Adele Barber ameamua kumng’ata ulimi mwanaume ambaye amembaka ili  kupeleka polisi upatikane ushahidi wa DNA.

Akisimulia tukio hilo amesema alikuwa anapita kwenye uchochoro huko Dunstable, England akasikia mtu anakuja nyuma yake lakini hakuhisi chochote, jamaa huyo alimkimbilia kwa nyuma na kumsukuma kwenye uzio, wakati anataka kumbaka alimng’ata ulimi, kuukata na kubaki na kipisi mdomoni na kwenda nacho nyumbani, mume wake akawaita Polisi na kuwapa ushahidi huo ambao ulisaidia mtuhumiwa kukamatwa.
.
Mtaa ambao tukio hilo lililotokea.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post