ANGALIA PICHA- VURUGU KUBWA HUKO IRINGA: POLISI WAUA MAMA NTILIE,WANANCHI WACHOMA MOTO KITUO CHA POLISI




Habari kutoka Iringa zinasema kuwa kituo cha polisi cha Ilula mkoani Iringa kimechomwa moto na wananchi wenye hasira kufuatia polisi kumuua mwanamke mmoja mfanyabiashara ya mama ntilie wakati wa msako maalum ulioendeshwa na jeshi la polisi dhidi ya wafanyabiashara na watu wanaokunywa pombe mida ya kazi.
Inasemekana wakati wa purukushani za kukimbia ndipo polisi mmoja alimchota mtama huyo mama wakati anakimbia na kusababisha mama wa watu kuanguka na kufariki dunia hapo hapo.BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
 
Mabasi ya kwenda mikoani yakiwa yamepaki baada ya wananchi kufunga barabara.

 
Muonekano wa mji wa Ilula mkoani Iringa baada ya wananchi kufunga barabara kuu ya mji huo.


 
Mabasi ya kwenda mikoani yakiwa yamepaki baada ya wananchi kufunga barabara.
 
 
 
 









BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم