TAZAMA PICHA JINSI MJI WA SHINYANGA UNAVYOTISHA KWA BARABARA MBOVU
Monday, January 12, 2015
Kwa
asiye mkazi wa Shinyanga, hapa ni katikati ya mji wa Shinyanga,
barabara kuu ya Nkurumah kushoto lipo jengo la ghorofa mbili ambapo
ndani yake kuna benki ya Posta.
PAMOJA NA SHINYANGA KUWA NI MIKOA YENYE RASLIMALI NYINGI ZA ASILI
IKIWEMO MADINI YA ALMASI NA DHAHABU, LAKINI BADO MAKAO MAKUU YA MJI HUO
HAYANA TOFAUTI NA MIKOA AMBAYO HAINA RASLIMALI HIZO.
HALI HIYO INADHIHIRISHWA NA JINSI MIUNDOMBINU YAKE YA BARABARA KWA
MBOVU KATIKA MAENEO YOTE YA MJI HUO HATA ZILE ZILIZOJENGWA KWA KIWANGO
CHA LAMI KIWANGO CHAKE NI CHA CHINI SANA.
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin