MWANASHERIA MKUU MPYA WA SERIKALI USO KWA USO NA SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anne

Makinda akimkaribisha ofisini kwake Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju wakati alipofanya ziara fupi ya kubadilishana mawazo.Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akitia saini kwenye kitabu cha wageni wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kabla ya kuanza kubadilshana mawazo. Ziara hiyo fupi imefanyika ofisi ndogo za bunge Dar-es-salaam.Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju akiwa kwenye mazungumzo ya kubadilishana mawazo na Spika wa Bunge Mheshimiwa Anne Semamba Makinda kwenye ofisi ndogo za bunge Dar-es-salaam.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post