Laana!! MAMA MZAZI ARUHUSU MTOTO WAKE WA MIEZI MINNE ABAKWE NA MPENZI WAKE

priii
Hii inaweza kuwa habari ya kushangaza sana baada ya mwanamke mmoja Jessica Lynn kuhukumiwa jela miaka 25 baada ya kumruhusu mpenzi wake kumbaka mwanaye wa miezi minne.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi katika mji wa Missouri, Marekani walisema mwanaume huyo Jordan Lafayette Prince aliwahi kuhukumiwa na makosa ya udhalilishaji kwa wanawake na sasa amehukumiwa kwa makosa ya kuua na kubaka kwa kukusudia.
rape
Jessica Lynn na mpenzi wake Jordan Lafayette Prince
Kwa upande wa mama wa mtoto huyo Jessica, yeye amehukumiwa jela miaka 25 baada ya kutoa ruhusa kwa mwanaume huyo kufanya vitendo hivyo tangu mtoto huyo alipokua na wiki nne hadi alipofikisha miezi minne ambapo alifariki kutokana na kuwa na maumivu ya ndani ya mwili.
Wakati anambaka mtuhumiwa alikua akimpiga mtoto huyo wakati akiwa analia na kumsababishia maumivu ya ndani ambayo yalichangia kifo cha mtoto huyo” walisema Polisi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post