KUTANA NA MWANAMKE WA SHINYANGA ANAYEJISAIDIA KWENYE NDOO HATAKI CHOO,SABABU IKO HAPA
Thursday, January 08, 2015
Hekaheka ya leo Jan 8, kupitia Clouds fm inatokea hapa Shinyanga, ambapo watu wanaishi nyumba moja wamemlalamikia mpangaji mwenzao kwa kitendo chake cha kutokwenda chooni na kujisaidia kwenye mifuko na kutupa hovyo uchafu huo wakati wa usiku, baada ya kumlalamikia aliamua kutumia ndoo kujisaidia kwa madai kuwa hawezi kwenda chooni kwa kuogopa ugonjwa wa UTI.
Mwanamke huyo alipoulizwa alisema huwa anajisaidia nyumba ya jirani kwa rafiki yake kutokana na choo chao kujaa, amekataa kwamba huwa anajisaidia kwenye ndoo, amesema amekuwa akiogea ndani kwake pamoja na kufua na kisha kumwaga maji nje kitendo kinachowafanya wafikirie kuwa anajisaidia kwenye ndoo.
Isikilize hapa Hekaheka yote kwa kubonyeza play
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin