HII NDIYO NDEGE INAYORUKA KWA KUTUMIA MWANGA WA JUA,VIDEO IKO HAPA ITAZAME UONE INAVYOFANYA KAZI

solar
Dunia na teknolojia yake, kila siku kuna mapya kwa hiyo hatutoacha kushangazwa nayo kila yanapojitokeza.

Nikufahamishe kwamba hii ndege inaitwa ‘Solar Impulse 2′, inatumia mwanga wa jua tu kuzalisha nguvu ya umeme ambayo inaifanya iruke.

Hii ina umbile ambalo ni sawa na ukubwa wa ndege ya Boeing 747, lakini uzito wake ni wa kawaida kama gari kubwa.

Mpango walionao ni kuirusha kutoka Abu Dhabi na itazunguka dunia nzima mtu wangu kwa kutumia nguvu hiyo hiyo inayotokana na mwanga wa jua.
Tazama video yake hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post