Msichana huyo anayeishi katika mji wa New Jersey ambaye alifanya mahojiano na jarida la New York alieleza kuwa amekua katika mahusiano na baba yake huyo kwa miaka 12 sasa mara baada ya mama yake kufariki na sasa wamemua kuvunja ukimya kwa kufunga ndoa.
“Ndugu wa familia yetu kwa upande
wa mama walijua tupo na ukaribu kama baba na mtoto wake lakini kwa
upande wa ndugu wa baba walijua sisi ni wapenzi na walikua
wakituchukulia kama wapenzi wengine,”alisema binti huyo ambaye jina lake halikuweza kuwekwa hadharani.
Alisema baada ya kufunga harusi wamepanga kuhama katika mji wa New
Jersey ambapo watu wengi wamekua wakiwapinga mahusiano yao na kwenda
kuishi sehemu nyingine.
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba +255 688 405 951
Social Plugin