![]() |
| Washiriki wakijadili kazi kwenye vikundi huku mwezeshaji akifuatilia kilichokuwa kinajiri |
![]() |
| Abdul Bandola kutoka Standard FM ya Singida akichangia jambo darasani |
![]() |
| Revocatus kutoka Rasi Fm akiwasilisha kazi ya kundi lake |
![]() |
| Kadama Malunde kutoka Shinyanga Press Club ambaye pia ni mkurugenzi wa Malunde1 blog akifuatilia kilichokuwa kinaendelea katika semina hiyo |
![]() |
| Hapa ni katika ukumbi wa kanisa la Moravian Tabora semina inaendelea kuhusu Media Audience Research |
![]() |
| Kazi za vikundi zinaendelea |
![]() |
| Mijadala inaendelea |
![]() |
| Mijadala darasani |
Afisa mradi wa Vyombo vya Habari na Huduma za Mawasiliano-RLDC Kanda ya Kati Tanzania Kindamba Namliaakiwasilisha mada katika semina hiyo
![]() |
| Kulia ni Kadama Malunde kutoka Shinyanga Press Club akipokea cheti cha ushiriki wa mafunzo hayo ya wiki 3 mjini Tabora |
![]() |
| Natalis Natalis kutoka Planet FM ya Morogoro akishikana mkono na mwezeshaji baada ya kpokea cheti cha Ushiriki |
![]() |
| Kulia ni Edward Mganga kutoka Top Radio ya Morogoro akishikana mkono na mwezeshaji baada ya kupokea cheti cha ushiriki |
![]() |
| Kulia ni Sylivia Chilolo kutoka TOP Radio akipokea cheti |
![]() |
| Steve Kanyefu kutoka Radio Faraja ya Shinyanga akipokea cheti |
![]() |
| Geofrey Archard kutoka CG Radio ya Tabora akipokea cheti |
![]() |
| Picha ya pamoja baada ya mafunzo hayo |
![]() |
| Picha ya pamoja baada ya mafunzo |
![]() |
| Picha ya pamoja
Mpenzi Msomaji,Tunapenda kukutumia Habari zetu zote mara tu Tunapoziweka Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa "HABARI" VITUKO "MAPENZI", MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba +255 688 405 951
|






















Social Plugin