TAZAMA PICHA 7- AJALI YA BODABODA MBILI MJINI TABORA USIKU HUU ,MOJA ILIKUWA NA TAA MOJA TU



Kumetokea ajali ya bodaboda mbili usiku huu saa tatu kasoro katika eneo la Mtaa wa Shule, barabara ya Sokoni-Polisi mjini Tabora mkoani Tabora.Mashuhuda wanasema ajali imetokea kutokana na madreva wote kuendesha katika mwendo kasi na kwamba mmoja wa madereva hao hali yake ni mbaya amekimbizwa hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete.

Inasemekana kuwa pikipiki moja ilikuwa na taa moja tu.Picha zote na Kadama Malunde


Pikipiki ambayo imeharibika vibaya na dereva wake anadaiwa kuumia vibaya

Eneo la tukio

Wananchi wakiangalia moja ya pikipiki iliyopata ajali ambapo inadaiwa madereva wote wamekimbizwa hospitali
eneo la ajali
Wananchi wakiwa eneo la tukio
Mtandao Huu Unakujali,Ni Wako!! Tunataka Tukutumie Habari zetu Zote Mara Tu Tunapozipandisha Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa Sasa Hivi ><<VITUKO>>,"MAPENZI",<<HABARI MSETO>>MAGAZETI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post