MKANDARASI KWILASA WA SHINYANGA MJINI APIGWA MARUFUKU HUKO SIMIYU

Mbunge wa Maswa Mashariki Silvesta Kasulumbai akichangia mada katika kikao hicho.


Wajumbe wa Kikao cha Bodi ya Barabara Mkoani Simiyu, wamepiga marufuku Mkandarasi KWILASA INVESTEMENT COMPANY LTD wa Mjini Shinyanga kufanya kazi ya ujenzi wa barabra yeyote Mkoani hapa kwa kile kilichoelezwa kufanya kazi chini ya kiwango kwa baadhi ya miradi aliyopewa kutengeneza Mkoani Simiyu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post