AZILIDISHA MAPENZI KWA MBWA-ATAKA AZIKWE NAYE KABURI MOJA

Kutokana na mapenzi makubwa aliyokuwa nayo kwa mbwa wake huyo, huenda aliona kama iwapo atatangulia kufariki mbwa wake hatopata upendo kama anaompatia yeye.
Akiwa hai aliomba kama ikitokea yeye akafariki kabla ya mbwa wake basi wazikwe pamoja.
Mwanamke huyo Connie Lay raia wa Indiana, Marekani aliyefariki siku chache zilizopita aliacha ombi hilo kwa rafiki zake, atakapokufa yeye na mbwa wake wazikwe pamoja, baada ya kufariki marafiki hao walituma ombi hilo kwa maafisa wanaoshughulikia haki za wanyama ambaowalipinga ombi hilo.
Mbwa huyo aliyepewa jina la Bella, Lay alitaka azikwe naye ambapo ombi hilo lilipingwa na watu wa haki za wanyama huku wengine wakitaka kujitolea kumlea mbwa huyo ili aepukane na adhabu hiyo ya kifo.

Mpenzi Msomaji,Tunapenda kukutumia Habari zetu zote mara tu Tunapoziweka Mtandaoni.Kujiunga nasi Bonyeza Hapa "HABARI" VITUKO "MAPENZI"MAGAZETI,UDAKU>
Endapo una Habari,Picha,Video,Tangazo au Tatizo Lolote wasiliana nasi kwa namba  +255 688 405 951

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post