BAADA YA BUNGE KUAHIRISHWA MARA MBILI LEO ASUBUHI,SASA KUUNGURUMA SAA KUMI JIONI

BONYEZA HAPA UJIUNGE NASI TUKUTUMIE HABARI ZETU MARA TU TUNAPOZIWEKA 

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Anne Makinda akifafanua jambo wakati akiendesha Bunge hilo leo saa tano asubuhi




Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Anna Makinda Amelazimika Kuliahirisha Bunge Asubuhi Kwa mara ya Pili   mara baada ya Kuliahirisha Saa tatu Asubuhi Hadi saa Kumi Jioni  .



Hali hiyo Imetokana na Mazungumzo yanayoendelea kwajili ya Wabunge Kuridhiana Mapendekezo ya Kamati ya PAC yaliyokuwa yanataka Baadhi ya Viongozi Kuwajibika.

Hali iliyosababisha Bunge hilo kutokuelewana la kulazimika kuahirishwa jana Saa nne Usiku

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527