![]() |
| Kulia ni diwani wa viti maalum kupitia CCM bi Marium Nyangaka,kushoto ni mwandishi wa habari gazeti la Mwananchi Suzy Butondo wakiwa kwenye ofisi za AGAPE |
![]() |
| Kushoto ni mtangazaji radio Faraja fm stereo Steve Kanyefu,akifuatiwa na Marco Maduhu,wa kwanza kulia ni Kadama Malunde mkurugenzi wa malunde1 blog |
![]() |
| Waandishi wa habari wakisikiliza na kuandika kilichokuwa kinazungumzwa na mtoto aliyefanyiwa ukatili na baba yake wa kambo. SOMA HABARI KUHUSU MWANAFUNZI HUYO KUBAKWA NA BABA YAKE |





Social Plugin