BAADA YA NDEGE KUGEUKA MWANAMKE, MCHAWI MWINGINE AUMBUKA HUKO NIGERIA,ASHANGAZA WATU


Ni Jambo la Ajabu Kila Mtu alijiuliza huyu Mwanamke Ameingiaje Kwenye Chemba Hiyo , Tukio hilo limetokea Mjini Lagos Siku ya Ijumaa..
 
Inasemekana Mwanamke huyo alisikika akipiga kelele kutoka kwenye chemba hiyo ambayo ilikuwa haina sehemu ya kutokea bali matundu madogo ya kutolea maji na uchafu.
 
Watu walioshuhudia tukio hilo walibaki na maswali ameingiaje humo na wakati hakuna sehemu ya kuingia.
 
Ili kumtoa ilibidi wananchi watafute vifaavya kukatia chuma ili kukata mifuniko ya chemba kumtoa..

Alivyotoka alisema meneno haya ,Jina langu ni Amudat Jimoh :
"Ni mungu ndio ameniweka huko kwenye chemba ili nitubu madhambi yangu nisije kufa...nahitaji
maji ya kunywa tafadhali..Please help me.."

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post