SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO WA KAKA JAY- Unaitwa "TANZANIA"

Wimbo unaitwa  Tanzania umeimbwa na Joash Timothy Omolo maarufu kwa jina la "Kaka Jay".

 "Mimi ni msanii wa nyimbo za kitaifa na kizalendo natoka Kahama  mkoani Shinyanga,naombeni mpokee kazi yangu hii niliyorekodi katika studio ya MABINDA RECORDS, Producer ELISHA MABINDA.Tayari nimeshuti pia video yake wasiliana nami kwa simu +255 788 190 022.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post