Mpyaaa!! SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO WA ALFREDY FUNDA- Unaitwa "ACHA KUMBIP MUNGU"



HIP HOP GOSPEL SASA YAENDELEA KUWA KINARA KATIKA MUZIKI WA INJILI   ALFREDY FUNDA  ni mwimbaji wa mziki wa Gospel Flavour kutoka kundi kubwa la   INJILI NI MOTO USIOZIMIKA lililopo jijini Dar es salaam.

Msanii huyu aliwahi kutamba na nyimbo ya JIFUNZE UPENDO kwa baadhi ya media  sasa ameamua kuja mzima mzima na nyimbo yake kali sana inayokwenda kwa jina la ACHA KUMBIP MUNGU ambayo imekuwa gumzo katika matamasha na mikutano jijini Dar es salaam kwani ameanza kuachia baadhi ya media jijini Dar es salaam.

 Ameimba kwa staili ya tofauti sana miondoko ya soft HIP HOP amekuwa akiwakamata mashabiki kwa meseji yake watu wenye tabia ya kumbip mungu .

tulijaribu kumuuliza alifikiria nini juu ya huu wimbo ,lakini alidai mungu amempa ufunuo.

 "Niliamka nikiwa na kiitikio cha kumbip mungu KWANI vijana wengi au binadamu tunambip sana mungu SASA HII NI SINDANO YAO UKWELI NA UWAZI",alijibu

 Ameongeza kwa kusema video ya wimbo huo  inakuja ipo katika maandalizi mazuri na ya kisasa.

Anaongeza kuwa "Watu wanatuita walokole washamba sasa watajua kuwa wao ni washamba sisi tupo town tuna afya nje na ndani.

Wasiliana naye kwa simu namba  0714142384 ,Email-alfrredyfunda@gmail.com ,anakaribisha mialiko kwani timu ya INJILI NI MOTO USIOZIMIKA  [IMU] Ipo sambamba naye   MBARIKIWE SANA 

SIKILIZA HAPA CHINI WIMBO WA "ACHA KUMBIP MUNGU"

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527