![]() |
| Baada kuambiwa avue joho la udiwani na kutoka nje_Wa kwanza kulia ni bwana Zacharia Mfuko aliyejiuzuru udiwani wake kupitia Chadema kisha kuhamia CCM na baadaye tena kurudi CHADEMA na kuandika barua tarehe 22.7.2014,kwenda kwa meya na mkurugenzi wa manispaa kuwa uamuzi wa kujiuzuru ulikuwa batili hivyo bado ni madiwani lakini mpaka sasa hawajajibiwa barua zao na mwenzake na leo kaamua kwenda kwenye kikao cha madiwani lakini akaambiwa atoke kwenye kikao Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog BOFYA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI |



Social Plugin