ZEE LA MIAKA 54 LAKAMATWA NA KUFIKISHWA MAHAKAMANIKWA KUOA MTOTO WA MIAKA 8

 
Jeshi la polisi wilaya ya Bunda mkoani Mara kupitia dawati la jinsia kwa kushirikiana na idara ya ustawi wa jamii mkoa wa Mara imemfikisha mahakamani mzee mmoja mwenye umri wa miaka 54 Changwe Changige kwa kosa la kumuoa mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane. 

TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527