WEZI WA TANGA NI NOMA_WAFUKUA KABURI NA KUIBA NGUO ZA MAITI


Watu wasiojulikana wamefukua mwili wa marehemu Agnes Gao aliyekuwa akiishi eneo la zizini wilayani Handeni  mkoani Tanga kisha kuiba mavazi yake ya mwisho aliyovishwa tukio hilo la kusikitisha limekuja siku mbili tu baada ya mwili wa marehemu kuzikwa.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post