Noumaa!! YULE ASKOFU MBABE WA EAGT ALIYEFIKISHWA MAHAKAMANI NA WAUMINI WAKE SHINYANGA ASHINDWA KESI,MCHUNGAJI ARUHUSIWA

Waumini wa kanisa la EAGT Majengo manispaa ya Shinyanga wakimshangilia mchungaji wao David Mabushi baada ya kushinda kesi ndogo kupinga kuvuliwa uongozi wake ndani ya kanisa hilo.Kesi hiyo ilifunguliwa na waumini wa kanisa hilo wakishirikiana na mchungaji huyo dhidi ya kumpinga askofu wa kanda ya magharibi Rafael Machimu ambaye aliwafukuza wachungaji wanane na kulaumiwa na waumini ambapo kesi hiyo iliendeshwa mahakama ya wilaya shinyanga chini ya hakimu Thomson Mtani ikiwa kesi ndogo imekwisha na kesi ya msingi itaanza kusikilizwa tarehe 29/septemba mwaka huu na kesi ndogo imekwisha tolewa maamuzi kuwa mchungaji huyo aendelee na kazi yake kama kawaida. BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA NYINGI ZAIDI

TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post