|
lori lenye namba za usajili T680 ARL aina ya Fuso lililokuwa limepakiza mizigo na wafanyabiashara ambao idadi yao bado haijajulikana likitokea kijiji cha Kiloleli wilayani Kishapu kwenda katika mnada wa Mhunze uliopo Kishapu,likiwa katika eneo la tukio katika kijiji cha Usunga kilometa chache kufika eneo la mnada |
Wakazi wa kijiji cha Uchunga wakiwa katika eneo la tukio leo.
Wafanyabiashara watatu wamepoteza maisha na wengine 46 wamejeruhiwa vibaya.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553