Habari iliyotufikia hivi punde katika chumba chetu cha habari ni kwamba lori /fuso lililokuwa limebeba abiria na mizigo kwenda katika mnada wa Mhunze wilayani Kishapu mkoani Shinyanga limepinduka katika eneo la Uchunga kata ya Ukenyenge wilayani Kishapu. Ajali hiyo imetokea asubuhi hii. Taarifa za awali zinasema Fuso hilo lilikuwa limebeba watu wengi kuelekea kwenye mnada wa Mhunze uliopo Kishapu Mpaka sasa watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha,majeruhi zaidi ya 20 <<<TAZAMA PICHA HAPA>>> |