Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA PICHA ZA WALE MAJAMBAZI WALIOUAWA NA JESHI LA POLISI HUKO GEITA BAADA YA KUUA MFANYABIASHARA


Miili ya watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi waliouawa na jeshi la posisi mkoani Geita wakiwa na silaha ya bunduki aina ya SMG na bastola wakitumia pikipiki aina ya sanlg yenye namba T460 CVQ  baada ya kuvavamia duka la mpesa na kumuua mfanyabiashara Gosbert Kulwa(59) mkazi wa tambukaleli mjini Geita. 




Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com