Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TAZAMA PICHA- MAJAMBAZI KUUA MTAWA (SISTA) LEO JIJINI DAR ES SALAAM


Kidole cha dereva kilichokatwa kwa risasi.Dereva huyo alikuwa na sisita

Mwili wa Sista baada ya kupigwa risasi.








Ganda la risasi likiwa eneo hilo la tukio.








...Dereva akiwasiliana na jamaa zake baada ya kupigwa risasi na sista aliyekuwa naye kuuawa.








Wananchi wakiwa eneo la tukio.

SISTA wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na majambazi yaliyokuwa kwenye bodaboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam majira ya saa saba na nusu mchana.
Sista aliyeuawa amejulikana kwa  jina moja la Kapuli
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi na majambazi hayo.


Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie! Apumzike kwa amani! Amina

via>> GPL

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com