Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MWAKA 2010 ALIKUWA PWEZA SASA NI NGAMIA ANAYETABIRI MECHI ZA KOMBE LA DUNIA 2014,SOMA STORI NZIMA IKO HAPA


20140616-103044-37844157.jpg
Kwenye miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na matumizi ya wanyama na viumbe wengine kwenye kutabiri matokeo ya mechi za soka hasa kwenye michuano mikubwa kama kombe la dunia.

 Mwaka 2010 wakati wa WOZA, nchini Ujerumani kulikuwa na Pweza ‘Octopus Paul’ ambaye alitabiri mechi zote na akapatia kila utabiri, mwaka huu amekuja Ngamia aitwaye Shakeeen kutoka Dubai ambaye nae alianza kutabiri tangu siku ya kwanza.
20140616-102950-37790371.jpg
Shakeen ambaye anamilikiwa na shabiki mmoja wa timu ya soka ya Al Wasry ya Dubai, alitabiri mechi zote za ufunguzi na akapatia, akatabiri ushindi wa Italy dhidi ya England akapatia, jana akaitabidi ushindi Ufaransa na Argentina akapatia tena

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com