UKAWA WAFANYA KUFURU ZANZIBAR,WAFANYA MKUTANO WAO KIWANJA CHA KIBANDA MAITI ,TAZAMA PICHA HAPA NI BALAAA

WAKAZI WA KUTOKA KISIWA CHA TUMBATU WALIFIKA KWENYE UKAWA NA MABANGO YAO KIWANJA CHA KIBANDA MAITI

MUASISI MZEE NASORO MOYO ALIFIKA KWENYE UKAWA
MAKAMU WA KWANZA WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMADI AKIKUMBATIANA KATIBU MKUU WA CHADEMA DR WILBROD SLAA KULIA KATIBU MKUU WA NCCR MAGEUZI MUSONA

MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR SHARIFF HAMAD AKISALIMIANA NA KATIBU MKUU CHADEMA DR  SLAA

KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEFU HAMADI AKIWASALIMIA WANANCHI
WANANCHI WAKISHANGILA

WANANCHI WAKIWA KATIKA MKUTANO WA UKAWA

WENYEVITI WA UKAWA  JAMES MBATIA NCCR MAGEUZI KUSHOTO PROFESA IBRAHIM LIPUMBA CUF KATIKATI NA KULIA NI MWENYEKITI FREEMAN MBOWE CHADEMA WAKIWASALIMIA WANANCHI

ASKARI  WA KIKOSI CHA FFU AKIWA KATIKA ULINZI

WANANCHI WAKIWA NA MABANGO YENYE UJUMBE WA KUONYESHA SERIKALI TATU

EMMANUEL MAKAID AKIWA ANASALIMIANA NA MZEE NASORO MOYO MUASISI

WANANCHI WAKIWA MABANGO YAO

MWANANCHI HUYU AKIONYESHA PICHA ALIYOIWEKA MGONGONI KWA YA RAIS MSTAAF WA ZANZIBAR NAYE ANATAKA TATU
via>>
jestina-george.com

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post