PICHA-HIKI NDICHO KAMERA ZETU ZIMEKINASA LEO MJINI SHINYANGA,JIONEE HAPA UJIFUNZE KITU

Katika pitapita zake mjini Shinyanga kamera za Malunde1 blog  zimebahatika kunasa tangazo hili la mganga wa jadi(asili) namba zake tumezifuta ili kuepuka kumtangazia biashara.Tangazo hili ni miongoni mwa matangazo  ya waganga wa jadi yaliyotapakaa katika maeneo mbalimbali ya manispaa ya Shinyanga yanayowekwa kwenye nguzo za umeme. Je yanalipiwa na wahusika kwa mamlaka zinazohusika?,lakini pili kinachotangazwa kiko sawa? lakini pia je ni  kweli kinachotangazwa kinawezekana katika jamii mfano hilo neno "Kuongeza akili Darasani?" au ni kuendelea kupigia debe suala la imani za kishirikina katika jamii bila kujijua? Endelea kutafakari......

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post