Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametoa zawadi ya shukrani ya simu aina ya iPhone kwa kila mgeni mwalikwa aliyeudhuria sherehe ya ndoa ya mwanae wa kike wa kwanza,Faith iliyofanyika Abuja Ecumenical Centre.
 
Ukiachana na mzee Goodluck kutoa simu hizo zenye gharama kwa wageni, pia ndoa hiyo ilikuwa ikirushwa moja kwa moja na kituo cha runinga cha NTA. 
 Kama ambavyo zilikuwa zimeandikwa kwenye bos simu hizi wengine ilikuwa ni ndoto kwao kumiliki simu hii lakini bahati imekuwa kwao wamejipatia zawadi hii mhimu simu ambayo kila mtu anatamani kuimiliki
Simu yenyewe ndio hii hapa kiukweli kama una bahati mbaya hubahatiki kabisa