MTOTO WA AJABU AZALIWA,ANA JICHO MOJA NA NDANI YA JICHO KUNA MACHO MAWILI,TAZAMA PICHA HAPA

Mtoto wa majabu azaliwa nchini cameroon, amezaliwa akiwa na jicho moja ndani ya hilo jocho kuna macho mawili, pia amezaliwa akiwa hana pua wala mdomo na amezaliwa na jinisia mbili.

Naalipo zaliwa tu haikuchukuwa muda mrefu akafariki dunia, sababu hakuwa na uwezo wa kupumua.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post