HUYU HAPA NDIYO KAKABIDHIWA MIKOBA YA MOYES ALIYETIMULIWA KAZI LEO

http://i3.mirror.co.uk/incoming/article85052.ece/ALTERNATES/s2197/ryan-giggs-image-1-182358288-85052.jpg
Kutokana na kutofanya vizuri chini ya uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22 Manchester United wamemtangaza
Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs kukabidhiwa  kwa muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi leo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post