MASKINI DADA HUYU,ACHARANGWA VIWEMBE KISA MAPENZI

DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe, 
Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita, 
Chanzo cha habari kilieleza kuwa ugomvi ulisababishwa na wivu wa mapenzi. 
Chanzo hakikutaja jina laDada huyu wala mtuhumiwa mpaka sasa Dada huyu yupo Hospitali ya wilaya Same.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post