Balaa Kishapu!! NDEGE WASHAMBULIA KWA KASI ZAO LA MTAMA

Ndege aina ya Kwelea kwelea wanashambulia  zao la Mtama huko wilayani Kishapu mkoani Shinyanga na  wamekuwa kikwazo kwa wakulima wa zao hilo ambalo linategemewa kuwa mkombozi wa maisha yao kuepukana na janga la njaa.

BOFYA HAPA KUONA HALI HALISI 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post