Sijui ndiyo Mwisho wa Dunia!!!! JAMAA AFUNGA NDOA NA MBWA HUKO CALIFORNIA MAREKANIMnamo siku ya Jumatatu historia iliwekwa katika kanisa la Our Lady huko Presidio Francisco jimboni California nchini Marekani.


Mtu mmoja aitwaye Paul Horner pichani mwenye umri wa miaka 35 akiwa amevalia suti yake nadhifu alifunga ndoa na mbwa wake mwaminifu aitwaye Mac.

Mchungaji aliyefungisha ndoa hiyo Father McHale alionyesha kufurahishwa kwake na kitendo cha yeye kufungisha ndoa hiyo ya kihistoria nchini Marekani.

Aliwaambia waandishi wa habri kuwa hicho ni kielelezo cha mapenzi ya kweli.
source-http://nationalreport.net/

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post