Hot News!! MTO WA MAAJABU KAMA KIKOMBE CHA BABU WA LOLIONDO WAPONYA WATU KIBAO HUKO NIGERIA



clip_image002
Habari kutoka nchini Ngeria zinasema kuwa mto maarufu kwa jina la Enugu uliopo kusini mashariki mwa nchi hiyo umevuta hisia za watu wa mataifa mbalimbali kwani inadaiwa kuwa mto huo unaponya wagonjwa kama vile ilivyokuwa nchini Tanzania kwa Babu wa Loliondo.

Inasemekana kuwa watu kutoka mataifa mbalimbali wamefurika  katika mto huo kupata tiba.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba mto huo una maji machafu na yananuka vibaya lakini wagonjwa wanazidi kumiminika ili kupata tiba kama unavyoona katika picha.

Wapo tayari kupiga mbizi ndani ya maji hayo machafu tena yenye harufu mbaya kweli kweli.Ama kweli imani ni kila kitu..

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI UONE HALI ILIVYO


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post