MGOMO WA DALA DALA JIJINI MWANZA WALETA KIZAA ZAA ,TAZAMA HAPA JINSI WANANCHI WALIVYOSAFIRI KUELEKEA MAENEO YA KAZI HII LEO

Madereva  wa  daladala  jijini  Mwanza  leo  wameamua  kugoma  kutoa  huduma  hiyo  muhimu  kwa  jamii  wakiishinikiza  serikali  kupandisha  nauli  na  kupunguza  faini  pindi  wanapokamatwa  na  askari  wa  usalama  barabarani....

Baada  ya  mgomo  huo  kuanza, abiria     walimua   kutumia  Malori, baiskeli, Toyo Kilimo  na  pikipiki  kama  njia  mbadala  ya  kusafiria.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA GSENGO BLOG

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post