Hapatoshi!!!! CHADEMA KALENGA WAMCHAGUA MWANASHERIA MWENDA KUMVAA MTOTO WA MGIMWA

Wajumbe  wa mkutano  mkuu wa kura za maoni jimbo la Kalenga  wametegua kitendawili  cha nani kati ya  makada 13 atakayevaana na CCM katika uchaguzi huo baada ya kumchagua kwa kura za kishindo mwanasheria Sinkala Mwenda kwa kura 132 dhidi ya kura 122 alizopata mpinzani  wake wa karibu Grace Tendega huku  Zuberi Mwachura  akiambulia   0 katika uchaguzi huo matokeo  zaidi  jioni ya leo


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post