BASI LA PENGUIN LAPATA AJALI MBAYA HUKO MAKETE,WENGI WAJERUHIWA

Hii ni ajali mbaya iliyohusisha basi la kampuni ya Penguin linalofanya safari zake kati ya Makete - Njombe, baada ya kugongana na toyota land cruiser jana Jumamosi Februari 22, katika kijiji cha Mang'oto wilayani Makete

basi hilo lilikuwa likitokea Njombe kwenda makete, hadi mwandishi wa Eddy blog ambaye pia amenusurika kwenye ajali hiyo anaondoka eneo la tukio, hakuna vifo ila baadhi ya abiria wamepata mchumbuko na wengine kukatwa na vioo (majeraha madogo madogo)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post