TAZAMA JINSI UJENZI WA VYOO KATIKA SHULE YA MSINGI BUGOYI B ILIYOKO MJINI SHINYANGA UNAVYOENDELEA ILI KUWANUSURU WANAFUNZI WASITUMBUKIE KATIKA VYOO VILIVYOCHAKAA NA KUWA NA NYUFA ZA HATARI
Saturday, January 04, 2014
Muonekano wa choo kinachotumiwa na wanafunzi na walimu wa shule ya msingi Bugoyi B iliyopo mjini Shinyanga
Muonekano wa ndani wa choo hicho
Hiki ndiyo choo kinachojengwa kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya Msingi Bugoyi B iliyoko mjini Shinyanga ambapo pamoja na changamoto ya choo wanafunzi bado wanakaa chini kutokana na uhaba wa madawati
Ujenzi wa vyoo unaendelea kama unavyoona
Ujenzi unaendelea
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin