TAZAMA HALI YA MAZINGIRA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MJI WA GEITA

 Ni katika pitapita zake mwandishi wa malunde1.blogspot.com mkoani Geita Valence Robert kamera zake zikamnasa kijana aliyejulikana kwa jina la Samson Makungu akiwa anachimba mtaro hapo juzi katika halmashauri ya mji wa Geita huku akiwa hajavaa kitu chochote kwa ajili ya afya yake


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post