Zilikuwa picha nzuri lakini zilizojaa huzuni kubwa baada wakinadada ndugu watatu kupotezewa na mama yao mpendwa masaa 12 kabla hawajafunga ndoa yao ya pamoja.
wakati mama yao na Sarah, Kaylee na Jodie Swales - waliokuwa na umri wa miaka 19, 21 and 22 akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kansa , walikuwa tayari wamesha chumbiwa.
Na kabla ya hapo mama yao alipenda sana aje aone harusi ya watoto wake wapendwa..
Tazama hapa harusi ilivyokuwa ....

Ilikuwa ni Huzuni na furaha pamoja wakati Sarah, Kaylee na Jodie Swales wakiwa wanafunga ndoa wote kwa pamoja

Wakiwa wanawatuliza huku harusi ikiiendelea

Mabinti hawa ambao walikuwa na plan ya kuolewa mwaka jana mwezi wa kumi tarehe 26, waliamua kuwahi zaidi ili kuona mama yao anahudhuria pia harusi hiyo kwa maana walijua hali yake si nzuri

Muziki unaendelea lakini wakiwa na huzuni kubwa ya mama yao

Kufunga ndoa, huku Beck akisema kuwa mke wake anampenda sana

Watoto wa Swales wakionesha picha ambapo walikuwa katika kipindi cha Furaha

Hii harusi iliendelea huku familia zote zikiwa na huzuni kubwa

Watoto wa Swales wakiwa wanalia kwa machungu wakati picha za mama yao zinaoneshwa katika harusi

Marafiki
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527
Post a Comment