![]() |
Watu 13 wamefariki dunia na wengine 3 wamejeruhiwa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa wanasafiria kutoka Itigi kwenda Singida kugongana uso kwa uso na lori eneo la Isuna. Watu hao walikuwa wakisafiri kutoka Itigi kwenda Singida mjini |

Post a Comment